Kama wewe ni shabiki wa Rapa Professor Jay kaa mkao wa kula kwani kuna bonge la kolabo na time hii amevuka boda hadi Kenya na kumvuta mrembo Victoria Kimani.
Professor Jay na mrembo Victoria Kimani ‘ngoma inogile’, wenyewe wasema yajayo yanafurahisha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment